NB: GHARAMA ZA USAFIRI UTALIPIA WAKATI WA KUPOKEA/KUTUMA BIDHAA KULINGANA NA ANUANI ULIYOWEKA
Maelezo mafupi ya bidhaa:
Friji hili lina mfumo wa Mono Cooling, Digital Inverter Compressor (linatumia umeme kidogo, halitoi kelele na lina durability kubwa – warranty ya compressor miaka 20), pamoja na Optimal Fresh Zone inayosaidia kuhifadhi chakula kibaki fresh kwa muda mrefu zaidi. Lina Deodorizer, Cool Pack, na mfumo wa All-Around Cooling unaosambaza baridi sawa kila sehemu.
Sifa kuu:
Uwezo: Lita 348 (Fridge 268L, Freezer 80L)
No Frost & Multi-Flow cooling
Shelves za tempered glass, droo ya matunda/mboga, egg tray
Ice maker (twist), interior light
Design ya kisasa yenye milango flat na rangi Refined Inox
Matumizi madogo ya umeme (Energy Grade 2 Star)
Vipimo:
Size: 600 × 1715 × 709 mm
Uzito: 56.5 kg